Kweli... Ila mambo yanakwendajeNimepotea kidogo siyo Sana.
Hichi kitabu kilabsiku nakiona tuu....title inanitia uvivu kusoma...ila ngoja nkifuatilie kwa vile unakipendaMonogamist reader
My Favorite Book ni Think like a Man, Act like a Lady
Kuna titles nazikubali sana humo ndani
Mkuu soft kopy naweza kuipata??? Ya hicho wanaume kutoka MarsSafi sana mimi mwenyewe hapa naendeleza The Power of Positive Thinking cha Norman ni kizuri na nikiingia kwenye mgogoro wa namna yeyote na mwanamke huwa nakimbilia kitabu kimoja kinaitwa Men are from Mars, Women are from Venus cha John Gray nikikisoma hicho kitabu na nikirelate na kilichotokea kati yangu huyo Mama najikuta nacheka tu na kusamehe kabisa.
Yanga tunaleta majembe tuu ila ajiandae kukaa bench kwa muda
Kawaida TUYanga tunaleta majembe tuu ila ajiandae kukaa bench kwa muda
Lazima asugue bench sana, yaani kwa namba ya kipa hata ukimkuta mmoja yuko vizuri utasugua bench. sasa Kwa Yanga wenye wawili wenye uwezo inakuwaje? Si unazeekea bench?!Yanga tunaleta majembe tuu ila ajiandae kukaa bench kwa muda
Salama kabisaa Shem niko mkoani huku ndo maana naadimikaKweli... Ila mambo yanakwendaje
Acha aje tuLazima asugue bench sana, yaani kwa namba ya kipa hata ukimkuta mmoja yuko vizuri utasugua bench. sasa Kwa Yanga wenye wawili wenye uwezo inakuwaje? Si unazeekea bench?!