MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,444
- 69,265
Fureshi
Tuko kwenye jam kama kawa
.kuelekea mihangaikoni
Basi nikutakie kila la kheri huko uendako!
Fureshi
Tuko kwenye jam kama kawa
.kuelekea mihangaikoni
Nami nikutakie kheri kwa siku nzima ya leoBasi nikutakie kila la kheri huko uendako!
Mi pia nilijisahau pale kwenye ule uzi nilijua ni huu, niliposhtuka ndo nikarudi kwenye mstari
Kariiiibu kijana.....Jimena
Bitoz
Youngblood
Th name
Lizzbetie
Unyani ungabu
Jonax
Nahreen
And aaaall, family!!
I miss u guyz vibaya vibaya.
😱😱😱😱😱😱 40k
Tumeamkaaaa brou.....Haya haya
Tuamke tuka fanye kazi
Gud mornin all
Leo naona foleni inatembea kwa kasi kidogoTumeamkaaaa brou.....
Tupo kene folen. ..
ShemuuInabidi kuipenda kwa lazima tu
Uhakika huo hakunaAna uhakika bibi harusi siku moja kabla ya harusi hakulala na mtu
Kama alivo imba mweeer!!!
Hahahaha mkuu huku kwetu....bado..Leo naona foleni inatembea kwa kasi kidogo
C sawa na sku nyngne
Upo....Uhakika huo hakuna a
Teh tehHahahaha mkuu huku kwetu....bado..