Miss you too brother.Jimena
Bitoz
Youngblood
Th name
Lizzbetie
Unyani ungabu
Jonax
Nahreen
And aaaall, family!!
I miss u guyz vibaya vibaya.
😱😱😱😱😱😱 40k
Asante na kwako piaNawatakia asubuhi njema wakuu
Asante MkuuAsante na kwako pia
Mbugi ni nini??Niko mbungi, leo nlikuwa nalala huku na stuka stuka
Shem habari ya asubuhiShemuu
HahahaMbugi ni nini??
Mi nimetokea sitimbi hivyo usishangae kushindwa kujua neno hilo
MorningMorning all
Jana nilikunywa dawa za mafua ndio naamka saizi
Hapa nawaza niende kibaruani au nipotezeee![]()
![]()
Ooh hapo sasa nimejuaHahaha
Mbungi yaani gudi au fureshi, au poa
Ebu niendelee kujifunika blankets tuMorning
Potezea tu excuse imeshapatikana
Asante..... Na kwako piaEbu niendelee kujifunika blankets tu
Asubuhi njema my wii
Ok usijal walaOoh hapo sasa nimejua
Asante sanaEbu niendelee kujifunika blankets tu
Asubuhi njema my wii