Makapuku Forum

NAPENDA KUTOA TAARIFA KWENU MAKAPUKU WOTE KUWA NILIKUWA KIMYA KUTOKANA NA SHEMEJI YENU/WIFI YENU KUWWA MJAMZITO NA ALIHITAJI UKARIBU NA USAIDIZI WANGU KWA UMAKINI NA UKARIBU ZAIDI.

NASHUKURU MUNGU JUMATANO ILIYOPITA MPENZI WANGU AMEJIFUNGUA SALAMA MTOTO WA KIUME MWENYE AFYA TELE. MTOTO AMBAYE NIMEAMUA KUMPA JINA LA GODSON KUTOKANA MITIHANI ILIYONIKABILI KIPINDI CHA UJAUZITO WA MAMA YAKE HASA BAADA YA WAZAZI WAKE KUNISUSIA.

AHSANTENI SANA NA MUDA MFUPI NITAKUWA PAMOJA NANYI KATIKA KUUTAFUTA USAWA WA WANAJF WOTE
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hongera mkuu
Bila changamoto hakuna mafanikio
Mi nasubiri Mungu akinijalia kid nimpe jina la KIKAPUKU
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…