Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Bishoo sanaHandsome Mkwere alikuwa Bishoo TU
......
Bishoo sanaHandsome Mkwere alikuwa Bishoo TU
......
KhaaaaaaaHivi wew kumbe ni ke au umekosea kuandika
Lete AnkaraBado 1
![]()
![]()
![]()
......
Morning to you shemMorning all
Shemizo upo? Umeadimika sanaMorning to you shem
Kaamka nazoBado hujatoa lock??
![]()
![]()
![]()
HamaHuko milio ya bunduki kila uchao.
Mzima mamy?
Nipo shem wangu. Sema wifi yako anakaba Kila kona. Za asubuhiShemizo upo? Umeadimika sana
Toka lini waafrika tukawa matajiri?na ubakaji.....Me huwa naona kama utajiri wa waafrika umegeuka laana/mateso kwetu.
Mwambie wifi akuachie kidogo angalau utusalimie ndugu zako. Huku salama kaka.Nipo shem wangu. Sema wifi yako anakaba Kila kona. Za asubuhi
Yule labda alikuwa waHapana michepuko hairuhusiwi hata kidogo
Kwan wifi wa jana uck amekukimbia???

Maneno murua kabisaaa
Nitamwambia wifi yako.Mwambie wifi akuachie kidogo angalau utusalimie ndugu zako. Huku salama kaka.
Mtoto anaendeleaje?Nitamwambia wifi yako.
Morning linamoMorning all