amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Chai tayari?Morning linamo
Anaendelea vizuri kabisa.Mtoto anaendeleaje?
Mi mzima, habari ya furahi dayMzima mamy?
Wii mzima?
Hapo Dada umewaza vitwanga tuManeno murua kabisaaa
Sanaaaa![]()
Katisha sana
.......
Nzuri kabisa tatizo baridi tuMi mzima, habari ya furahi day
Wii uko poaChai tayari?
Mie mzima my wiiWii mzima?
Mmehitimu MU (Majungu University)Bishoo sana
Fanya umlete mbwinde aje atusalimieAnaendelea vizuri kabisa.
Mie mzima wiiWii mzima?
Nitamleta Dada, usijaliFanya umlete mbwinde aje atusalimie
Wii niko poa kabisa. Tatizo sukari sijui magu anataka tupige kitwanga asubuhiWii uko poa
Haya bwana ukija utuletee na sukari.Nitamleta Dada, usijali