Watu wapo bize kuleta siasa hawajui kuwa vitoto vyetu vitakuja kufundisha na hao division 4
Sana sana watacheza mdako tu class
.......
Kuna post humu inaonyesha mwanae alipata div. 4 ya 30 lakini sasa yuko Hapo hapo UDOM
Politics zta tuua hii nchi
Yaan hapana chezea kitu inaitwa elimu, Rais kawa serious kwa kweli
ndo hata Gpa zliekwa kwa siasa siasa na sympathy za kibabaishaji
AaahKuna post humu inaonyesha mwanae alipata div. 4 ya 30 lakini sasa yuko Hapo hapo UDOM
Kudadeeeeeki enzi zile za Mama Ndalichako akiwa NECTA wanafunzi walikuwa wanasoma na kupiga div 3 ilikuwa kwa msoto na unaheshimika
Politics zta tuua hii nchi
Yaan hapana chezea kitu inaitwa elimu, Rais kawa serious kwa kweli
ndo hata Gpa zliekwa kwa siasa siasa na sympathy za kibabaishaji
Kudadeeeeeki enzi zile za Mama Ndalichako akiwa NECTA wanafunzi walikuwa wanasoma na kupiga div 3 ilikuwa kwa msoto na unaheshimika
Sio akina GPA ambao hawakumbuki hata pie = 22/7
..........
Walichokosea ni kuwafukuza ndani ya masaa 24 hakuna kingineKi ukweli natafuta kosa la Rais silioni, ndo naendelea kuchunguza apa kakosea wapi labda
Naona kozi nzima hii ilikuwa ni jipu tyuuu
Yes kwavile wale sio wahalifu,Unaonaje km wengepewa wiki kujiandaa kuondoka!
Mi sijaona tatizo kwenye kufukuzwa kwao.Watu wapo bize kuleta siasa hawajui kuwa vitoto vyetu vitakuja kufundisha na hao division 4
Sana sana watacheza mdako tu class
.......
Hili nalo jipu
Hilo ni kosa la menejiment ya chuo sasa, ambao walihofia vurugu na ishu kama hzo, pia hapo naweza kuunga mkonoWalichokosea ni kuwafukuza ndani ya masaa 24 hakuna kingine
Hiyo inaitwa kutimuliwa kwa mwendokasi now kila kiltu mwendokasiMi sijaona tatizo kwenye kufukuzwa kwao.
Tatizo nimeliona pale walivyopewa masaa 24
Hilo ni kosa la menejiment ya chuo sasa, ambao walihofia vurugu na ishu kama hzo, pia hapo naweza kuunga mkono
Ila kwa wale wenzangu na mimi walo wahi kufukuzwa chuo, chuo huwa hakikupi zaid ya masaa 24 muwe wa wili au laki 1
Tafiti zinaonesha hiyo ina shidaMwanzo mwisho, sio msosi tu mpaka
View attachment 353104
Aaah
Hapo sasa majanga tena
Hata ukipigwa DISCO ni kusepa fast a tu sio km sekondariHilo ni kosa la menejiment ya chuo sasa, ambao walihofia vurugu na ishu kama hzo, pia hapo naweza kuunga mkono
Ila kwa wake wenzangu na mimi walo wahi kufukuzwa chuo, chuo huwa hakikupi zaid ya masaa 24 muwe wa wili au laki 1