Uko sahihi kaka, angetumia hekima kidogo tu tungemwona anajali watz, awamu ya 4 ilifanya makosa mengi japo hili lilikuwa na nia njema, hakupaswa kuwaadhibu, bora hata wangeamua badala ya kupewa diploma basi wapewe certificate na waongezewe miaka zaidi ili wapewe diploma au vinginevyo, kwanza kwa kuwaandaa kulikoni walivyowaadhibu kama vile wahamiaji haramu walio majambaziHana washauri wazuri. Wanafunzi siyo watu wa kugombana nao. Yaani ange-score political points za bure kwa kutatua tatizo lao mara moja KAMA KWELI NI WALE WALIOLETWA KWA AJILI YA KUMALIZA TATIZO LA WALIMU WA SAYANSI. Kama ni wengine wameingia chuoni kwa njia za panya ni haki yao kutimuliwa japo siyo kwa ukatili hivi.
Asante LinamoNawe pia
Naam shem languShem WA mie
St Mathew Secondary School
S1071/0102
F
JESCA JOHN MAGUFULI
30
IV
CIV-D HIST-D GEO-D KISW-F ENGL-C B/MATH-F COMM-F
Hana washauri wazuri. Wanafunzi siyo watu wa kugombana nao. Yaani ange-score political points za bure kwa kutatua tatizo lao mara moja KAMA KWELI NI WALE WALIOLETWA KWA AJILI YA KUMALIZA TATIZO LA WALIMU WA SAYANSI. Kama ni wengine wameingia chuoni kwa njia za panya ni haki yao kutimuliwa japo siyo kwa ukatili hivi.
Ukiona watu wanatetea sana akina division 4 waliotimuliwa basi ujue bao ndo daraja lao au ZIRO
Sio lazima kila mtu afunguliwe mageti ya chuo aingie wengine size yao ni ulinzi tu kimsingi kifaulu ni div 1 to 3.....mtu mwenye 4 kapass tu na wachache sana huwa na credit 3 hasa wale wa pts 26
Tuache sasa sio lazima kila mtu awe na degree wengine yafaa tu wawe wafagiaji wa chuo
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
..........
Kimeisha[emoji85] [emoji85] [emoji85]Gud, polee
Nije kula!!?
Usimwambie mtu[emoji12] [emoji12] [emoji12]Wii Smirnoff unapigika 10[emoji85] [emoji85] [emoji85]
HaaaaKimeisha[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tusubiri kesho
Bitoz unakosea, hapa hatujadili 4, tunajadili utu wa hawa watoto walivyopuuzwa bila kujali walikuwa na daraja gani!Ukiona watu wanatetea sana akina division 4 waliotimuliwa basi ujue bao ndo daraja lao au ZIRO
Sio lazima kila mtu afunguliwe mageti ya chuo aingie wengine size yao ni ulinzi tu kimsingi kifaulu ni div 1 to 3.....mtu mwenye 4 kapass tu na wachache sana huwa na credit 3 hasa wale wa pts 26
Tuache sasa sio lazima kila mtu awe na degree wengine yafaa tu wawe wafagiaji wa chuo
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
..........
Na kwako piaUsiku mwema wakuu
hallow!! glad to see u here!!! how are you? siku yako imeisha poa!!!Kimeisha[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tusubiri kesho
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ukiona watu wanatetea sana akina division 4 waliotimuliwa basi ujue nao ndo daraja lao au ZIRO
Sio lazima kila mtu afunguliwe mageti ya chuo aingie wengine size yao ni ulinzi tu kimsingi kufaulu ni div 1 to 3.....mtu mwenye 4 kapass tu na wachache sana huwa na credit 3 hasa wale wa pts 26
Tuache siasa sio lazima kila mtu awe na degree wengine yafaa tu wawe wafagiaji wa chuo
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
..........
Sikujua kama kutakuwa na ugeniHaaaa
Unakula mwenyeweee chotee!!!
u want to sleep? basi poa tu, usiku mzuri kwako.Na kwako pia
Utu kwenye elimu wapi na wapi....km max hazitoshi si basiBitoz unakosea, hapa hatujadili 4, tunajadili utu wa hawa watoto walivyopuuzwa bila kujali walikuwa na daraja gani!
Hata wangekuwa na zero bado haiondoi utu wao. Mbona wahalifu wanalindwa na kupewa haki zao za msingi
Ki ukweli natafuta kosa la Rais silioni, ndo naendelea kuchunguza apa kakosea wapi labdaUkiona watu wanatetea sana akina division 4 waliotimuliwa basi ujue nao ndo daraja lao au ZIRO
Sio lazima kila mtu afunguliwe mageti ya chuo aingie wengine size yao ni ulinzi tu kimsingi kufaulu ni div 1 to 3.....mtu mwenye 4 kapass tu na wachache sana huwa na credit 3 hasa wale wa pts 26
Tuache siasa sio lazima kila mtu awe na degree wengine yafaa tu wawe wafagiaji wa chuo
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
..........
Unaonaje km wengepewa wiki kujiandaa kuondoka!Utu kwenye elimu wapi na wapi....km max hazitoshi si basi
Utawala wa yule Mkwere ushapita....Sasa ni tumbua majipu tu masistaduu na matoz ambao waliona uvuvi kutisua waje kitaa wauze sura
Zama za ujanjaujanja zimepitwa na wakati
.......
Watu wapo bize kuleta siasa hawajui kuwa vitoto vyetu vitakuja kufundisha na hao division 4Ki ukweli natafuta kosa la Rais silioni, ndo naendelea kuchunguza apa kakosea wapi labda
Naona kozi nzima hii ilikuwa ni jipu tyuuu