Sasa nimetokea kumwogopa rais zaidi ya ukoma, hana chembe ya huruma utafikiri hao watoto walijiamulia kuingia chuoni wenyewe.
Hajaguswa hata na matukio ya ubakaji kwa wasichana!!!
Namba inasomeka sasa
Hana washauri wazuri. Wanafunzi siyo watu wa kugombana nao. Yaani ange-score political points za bure kwa kutatua tatizo lao mara moja KAMA KWELI NI WALE WALIOLETWA KWA AJILI YA KUMALIZA TATIZO LA WALIMU WA SAYANSI. Kama ni wengine wameingia chuoni kwa njia za panya ni haki yao kutimuliwa japo siyo kwa ukatili hivi.
Vyangu kivipi mkuu? Mali za masupastaa hizi na mapedeshee. Mimi hata niuze ng'ombe wote wa familia na mashamba ya ukoo sidhani kama naweza kumpata binti Sepetu. May be few years huko mbele ya safari akichoka kidogo na mahips yakizidi kuwa makubwa!