Haaahaa,
Mzee Nyerere alishawahi kuagiza.
Basi kuna mzee X alipewa kazi ya kuyaleta huko akapewa na moja extra akilifanya liwe lake.
Ile kuliona town akauliza ni la nani wakamwambia nia la Mzee X; wacha Mwalimu afure hasira akamwita jamaa akamwambia hiyo extra ilikuwa ni yangu siyo yako.
Haya ya sasa naogopa Sabotage tu!