Makapuku Forum

Nasikia kichefuchefu sikujua km walimu vichwa maji kiasi hiki ....wenzao tumekaa miaka kibao bila ajira wao ht mwaka bado full makelele
Wakalime matikiti wasitusumbue

......
Mna tofauti wenzio walisoma wakijua ahira yao mwezi wa pili, zaid sana mwez wa nne

Wana karibia mwaka hapo wana pigwa kalenda, lazma walalamike
 
Sasa we jifanye unajua mpira kuliko kocha wa england

Timu ya taifa wanitwa watu ambao kocha ana panga

Ben arfa na lacazette wameachwa ufaransa

Hayo mambo yapo
Mkuu kuna wachezaji wana bifu na kocha .....hapo sawa

Tatizo kwa Drinkwater tunaongelea kiwango chake ANASTAHILI KUWEPO PALE....Tuache uchambuzi maandazi
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…