Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Weka pichaBibi kapuku ana mapumziko au balaa la babu kutaka chai na karanga????
Weka pichaBibi kapuku ana mapumziko au balaa la babu kutaka chai na karanga????
Chezea my wii weweUsiwaze Shem ,njia ya kile kijiji chenye watoto wazuri naikumbuka
Na hivyo wameshanifaham hakijaharibika kitu
Wewe jipange tu, yani posa,mahali na kuchukua mke tunafanya ndan ya siku mbili tuuuuu
BaelezeeeeKiroho safi tuu
Ila hivyo vinguo hatutaweza kuvumilia
OkayMust to comment
![]()
![]()
![]()
........
Hiyo rangi yangu mie na baby wangu anaipenda kama nini!!!Na kunywa maji mengi manake sasa mtoto nae atafata rangi ya mama View attachment 352499
As God wills it to beSo Mote It Be

Unataka Mmanyema nini!?
One to anotherSidhani kama anaweza hata kubusu huyu mtu. Ukiona mtu anaongelea mambo hayo jua hata ukienda bila khanga ataficha uso. Hawajiwezi.
Mhu nitaachika bure na wadogo zako watanicheka.Weka picha
Ulimi wa kiherehereNa ulimi wa mwendo kasi nauona
Wifi katika ubora wangu wa kuhakikisha Kaka zangu wanapata wives material kama mieBaelezeeee
Chezea my wii wewe
Huyu atakufaa![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Usiwaze Shem ,njia ya kile kijiji chenye watoto wazuri naikumbuka
Na hivyo wameshanifaham hakijaharibika kitu
Wewe jipange tu, yani posa,mahali na kuchukua mke tunafanya ndan ya siku mbili tuuuuu
Ni kweli nilikusepo na Manyoni kuna watoto wakali hadi nilitaka kusahau kwetu
![]()
![]()
![]()
.......
Na kweli, angejua akatafute mashamba mkuranga tuuNauli na muda