Makapuku Forum

Makapuku Forum

Weka picha
55ef8d9908eeb5be2cd0a0c05cd8a5b2.jpg

.......
 
Mmelaa au mpo kwenye mwendo kasi DART tangu saa tisa na kitu??? Haya lala unono bibi kaamka katoka kwa dentist kanitoa nerves ila nimeshtuka mspanish wa watu kahairisha sisheni mpaka next week. Imagine meno matatu na moja sijamaliza. Mimi Kapuku kweli. Woga wa mashine. Kanipa dawa ya kulevya nikienda next week nitakuwa michael jackson. Msicheke. Bye. Anahitaji msaidizi ila uwe na moyo. Masaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom