Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Hivi mtu unalalaje mapema hii??![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aaah leo nawahii
Yaaan ndo naepa hvi
Sasa huyo doctor nae kimeo![]()
![]()
![]()
![]()
Ushauri wa daktari
Wewe uliaga mapemaa umemwona jimena usingizi umepaa?Thanks
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaan apa nachat uku nme lala
Wewe uliaga mapemaa umemwona jimena usingizi umepaa?

Ama kweli jimena ni SUKARI UKAPUKUNI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mweer!!! Na mi ndi nashangaa hvi
Morning shemizooGood morning kwa hisani ya naibu spikaaa Dr Tulia
Mzima pastor?Mungu kwetu ni kimbilio na nguvu, msaada tele wakati wa mateso
Nashukuru uzima nimepewa tena, habari dadaMzima pastor?