Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Mfano tu kaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi casillas yupo
Eb ki update kikosi
Baadaye naleta vikosi vyote na update za nguvu mwanzo mwisho
Usikonde
........
Mfano tu kaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hadi casillas yupo
Eb ki update kikosi
Bado wala kwa mantilie ee!Hahaha
Mi badoooo
HahahaBado wala kwa mantilie ee!
Niko hapa dadangu nikupendae, mzima?Jambilo[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
Umeyataka mwenyewe.Acha hizo basi
Tembea tu hakna cha ajabu kwani vichaa wako wengireal asipochukua kombe natembea uchi hadi moro
Anatishia watu wa jfTembea tu hakna cha ajabu kwani vichaa wako wengi
Karibu tule samaki bhanaNiko hapa dadangu nikupendae, mzima?
HahahahahaHaya go, usje uka achwa ukaanza kuleta threads zako MMU
mi kwa kuwa sina hyo ndoa
Naendelea kuskilza music tuu
CR 7Tujuane mapema mie Atletico de Madrid we mwenzangu ambae hujasema!!!
Shezn, Mussolin5 na PNC nimewasoma pia Jimena
Hapo safiMishe zinatupoteza, japo kuna muda nlikuwa nawachabo na Shezn
Jamani mate yangu...Karibu tule samaki bhana
Sahivi ni muda wa [emoji460] [emoji460] [emoji460]Nashangaa alikuwaj mda wote huo apa
Akimbie fasta
Now ndo mid ya mbungi yenyeweeSahivi ni muda wa [emoji460] [emoji460] [emoji460]
Miss youAje waungwana[emoji780]
Mochongo imeniweka busy
One love
Kapukuz
..........