Nko salama, saiz kama umepotea pia ?Nzuri uko poa?
Nimekumiss🥰
Nipoo sana tu!Nko salama, saiz kama umepotea pia ?
Pole sana moud Mungu akufanyie wepesiMkuu mi mzima, ingawa kuna changamoto za kawaida lakini tupo tunakimbiza
Amin 🙏Pole sana moud Mungu akufanyie wepesi