Nipo sana hapa, tangu Ramadhan hadi Ijumaa kuu nilikuwa nalinda jukwaa maana wadau mlipotea sanaUmemisika mdau
Wapo watakaolishana nyama nakwambia😃Ijumaa Kuu njema wanajukwaa wote.
Msiokula nyama leo basi msile nyama zote, msichague kuhalalisha na kuharamisha
......itakuwa kakamatwa na jamaa wa TRA au Latra ha ahahahaaha.Tumemzoea mwenyekiti Poker huwa anatushtua mara moja moja naye sijui kapotelea wapi siku hizi!
🤣🤣🤣🤣......itakuwa kakamatwa na jamaa wa TRA au Latra ha ahahahaaha.
Wasaliti tayari washafanya yao! Jana kuna mchongo walikuwa wanausikilizia😂Hivi kwenye hii pasaka, wasaliti wanakutana leo au matokeo ya kumsaliti Yesuy tunayakumbuka leo!?
Aisee sina kiukweli niliitafuta ijumaa, uokote ya mbuzi choma na serengeti premium apple, ila itakuwa imepotea kimazingaombwe.Poker namba yangu unayo! Na una deni kubwa kwangu!
Hmmm we poker kivipi sasa🤔Aisee sina kiukweli niliitafuta ijumaa, uokote ya mbuzi choma na serengeti premium apple, ila itakuwa imepotea kimazingaombwe.
Tuma aisee niko kwa wakala saivi nataka kila mtu awe na furaha humu ndani.Nitume wapi labda?
We unanichosha tu yani nianike hapa no yangu kisa elfu 10😅Tuma aisee niko kwa wakala saivi nataka kila mtu awe na furaha humu ndani.
Tayari ✅54227377 lipa no Voda