Seran hiki kipande asikione Natafuta ajira 😄Mara baada ya kumpigia simu mkewe, María Isabel Santos Caballero—Mwamba “Pablo Escobar” alikamatwa na huo ndo ulikuwa mwisho wake.
The Drug Lord “El Chapo” naye alikamatwa mara tu baada ya kufanya mawasiliano na Manzi yake “Kate De Castillo”
Star Boi “El Mencho” akiwa kwenye mjengo wake huko Tapalpa (Jalisco) nchini Mexico,
Lokesheni yake ilitambulika mara tu baada ya kufanya mawasiliano na bebe yake “Guadalupe Moreno Carrillo”
Alivamiwa na kikosi maalumu cha jeshi la Mexico, na kuuawa.
Wahuni waliwalinda sana MaBosi zao, tena kwa uaminifu wa hali ya juu bila ya USNITCHI wowote ule.
Maanguko yao yametokea vilevile kama ilivyokuwa kwa Babu yetu Adamu (EVA) au Mzee wetu Samsoni (DELILA).
View attachment 3548347
Sijambo! Ulipotelea wapi rafiki?
Nilikuwa kanda ya Ziwa, mwenyeji wangu alinizuia kushika simuSijambo! Ulipotelea wapi rafiki?
Kwanini lakini akufanyie hivyo? Unaendeleaje lakini?Nilikuwa kanda ya Ziwa, mwenyeji wangu alinizuia kushika simu
Naendelea vema, yeye alitaka nibaki hapo tu siku zote.🤣Kwanini lakini akufanyie hivyo? Unaendeleaje lakini?
Aisee kuna kitu utakuwa umemuonjesha kikamchanganya , haiwezekani kabisa😃Naendelea vema, yeye alitaka nibaki hapo tu siku zote.🤣
Sijui kama ilikuwa hivyoAisee kuna kitu utakuwa umemuonjesha kikamchanganya , haiwezekani kabisa😃
Duhh basi sawaa, karibu jukwaaniSijui kama ilikuwa hivyo
Mwezi tutautafuta kesho mdau.Mwezi ukionekana tuambiane wadau.