Aww😍 acha nijiandae kujipa rahaa kabisa😌Ipo Zambia ni maporomoko mazuri sana japo pia ukiwa upande wa zimbabwe unaeza kuyaona ila sisi tutaenda Zambia tukae siku mbili, kisha twende visiwa vya seychelles tukaimalizie valentine yetu.
Shindwaaa we mzee😂😂😂 ethiopia tena, tutaungaunga tufike! Hakuna cha mganga hapa.. wachawi ndio sisi😅....akikataa hii offer, mtafute Lee akutafutie mganga. Maana ndiyo mbinu pekee ambayo itakuwa imebaki, nikiongea kwa uzoefu. Seychelles mtahitaji muda wa kuplan, maana usafiri wake ni wa kuungaunga, mnaweza jikuta Ethiopia
Nadhani Kenya airways inaenda seychelles, japo sina hakika ila itabidi kabla sijampeleka nimlete kwanza umwekee mikono kichwani aepukane na husda za waja 😊....akikataa hii offer, mtafute Lee akutafutie mganga. Maana ndiyo mbinu pekee ambayo itakuwa imebaki, nikiongea kwa uzoefu. Seychelles mtahitaji muda wa kuplan, maana usafiri wake ni wa kuungaunga, mnaweza jikuta Ethiopia
Anitemee na tumate kwenye utosi🤣😂Nadhani Kenya airways inaenda seychelles, japo sina hakika ila itabidi kabla sijampeleka nimlete kwanza umwekee mikono kichwani aepukane na husda za waja 😊
...zama zimebadilika, wewe ndo utanitemea mate kichwani, gen Z wamebadirisha mambo mengin sana, kaniyuimajin!Anitemee na tumate kwenye utosi🤣😂
Kikubwa mfike, mambo mengine yatajisot mbele kwa mbele kama gitaa la dokta RemmyNadhani Kenya airways inaenda seychelles, japo sina hakika ila itabidi kabla sijampeleka nimlete kwanza umwekee mikono kichwani aepukane na husda za waja 😊
Hahhaaa hao usiwaige wameshindikana utakwama😂 unataka tutengeneze laana badala ya baraka...zama zimebadilika, wewe ndo utanitemea mate kichwani, gen Z wamebadirisha mambo mengin sana, kaniyuimajin!
...ngoja niende masjid, nikaombe kutumia spika za adhana kumuita aje hapa, ili upone mtaasisi
.....atajuaje kama hujamwambia, uchawi upo kwenye kumuelza, sisi hatutokusaidia
Ndio nipo hapa kumsapoti mpaka sukari ipande😂 nchi ngumu hii mzeee.....sasa wakati anapitia hiki kipindi kigumu ndo wewe sasa ushike nafasi hadi pale atakapofanikiwa anachohitaji. Nchi huru hii
....sapoti ni kama kutia nia, bila kusapotiana kutiana nia hakutoondoa maumivu anayopitia kwa sasa. Upo karibu hebu tunyanyue mashabiki zake msimu wa mvua.Ndio nipo hapa kumsapoti mpaka sukari ipande😂 nchi ngumu hii mzeee..
.....huo mtihani sasa unanipatia mkongwe mimi. Yeye mwenyewe haniamini labda checki na moudgulf , huyu jamaa ndo anaaminika. Mimi nilimuahidi korosho hakuja kuzichukua, zikarudishwa kwa sender. Japo mkongwe, ananilaumu, anasema siko makiniKaka Obe nategemea kwa busara na ukongwe wako utanisaidia katika hilo. Namimi ntahakikisha nakununulia zawadi ya gitaa lenye sahihi ya Diblo Dibala 😊
Nia ipo palepale ata isipotiwa😆 kuna mvua wapi huko mwenzetu......sapoti ni kama kutia nia, bila kusapotiana kutiana nia hakutoondoa maumivu anayopitia kwa sasa. Upo karibu hebu tunyanyue mashabiki zake msimu wa mvua.