Ushahamisha magoli tayari mdau, ilikuwa ndoo ya sato, sasa hivi unasema mambo za samaki wa foil!Q Samaki wametoka kwenye ndoo wameingia kwenye foil.!!!!Mi niko hapa ryan bay hotel, nikufuate hapo nyakato maeneo gani uje uimalizie jpili yako na wine na sato wa foil.
Mwenyew kanipa heart attack huyu kijana kashanirusha roho! Hebu fikiria ndoo ya lita 20 kwa ghafla hivi😅Ushahamisha magoli tayari mdau, ilikuwa ndoo ya sato, sasa hivi unasema mambo za samaki wa foil!Q Samaki wametoka kwenye ndoo wameingia kwenye foil.!!!!
makaveli10 ukiwa unatoka Igunga, hebu nipitie hapa Ngokolo twende tukavue samaki wetu wenyewe hapo Rocky city
Salaam zako zimefika, zimepokelewa...Nawasalimu wote Shunie Atoto Seran cocochanel Makiwendo cocastic Obe makaveli10 Tresor Mandala moudgulf Vincenzo Jr dosho12
Kuna yoyote aliepo Mwanza nataka nimpe zawadi ya ndoo ya 20l iliojaa sato
Bora angekupa hatimiliki kuliko hiyo HATI ATACHI... 😂🤣🤣🤣Mwenyew kanipa heart attach huyu kijana kashanirusha roho! Hebu fikiria ndoo ya lita 20 kwa ghafla hivi😅
Nitapitia hapo mkuu..Ushahamisha magoli tayari mdau, ilikuwa ndoo ya sato, sasa hivi unasema mambo za samaki wa foil!Q Samaki wametoka kwenye ndoo wameingia kwenye foil.!!!!
makaveli10 ukiwa unatoka Igunga, hebu nipitie hapa Ngokolo twende tukavue samaki wetu wenyewe hapo Rocky city
Jamani GT hii ni typo tu😂 nmeshiba makande siwezi kuongea vzr..Bora angekupa hatimiliki kuliko hiyo HATI ATACHI... 😂🤣🤣🤣
.....ha ahahhaha, hapo tunakuwa tuna repeat ile ngoma Denise Kusala (Yondo Sister) na Ballou Cankta wanajibizana baada ya kuwa Shimita kachombeza kwenye gitaa la Ngouma Lokito na Dali Kimoko. Tunajikuta tumeingia mjini utasema tuliamka nao hapo.Nitapitia hapo mkuu..
Nina album ya soukuss stars.. tule samaki tunakumbukia enzi
...makande ya KisabatoJamani GT hii ni typo tu😂 nmeshiba makande siwezi kuongea vzr..
Poker chenga sana, angesema tu anakukaribisha samaki wa foil ila sio kusema anakupatia ndoo, majirani tukozonge utugaie.Mwenyew kanipa heart attack huyu kijana kashanirusha roho! Hebu fikiria ndoo ya lita 20 kwa ghafla hivi😅
Acha kabisa jamaa yangu!!🤰🏼...makande ya Kisabato
Muda huo nishashiba ugali wa mtama ananiambia samaki wa foil tena sato! kama nilie😂😂 angeeleweka tukapanga zetu kafoleni kila mmoja na kandoo kake haoo😂😂💔💔
Niling'amua hilo, ndio maana nikaleta utani tuJamani GT hii ni typo tu😂 nmeshiba makande siwezi kuongea vzr..
Usalama upo ndugu yangu, namshukuru mungu......ha ahahhaha, hapo tunakuwa tuna repeat ile ngoma Denise Kusala (Yondo Sister) na Ballou Cankta wanajibizana baada ya kuwa Shimita kachombeza kwenye gitaa la Ngouma Lokito na Dali Kimoko. Tunajikuta tumeingia mjini utasema tuliamka nao hapo.
Swalama lakini ndugu yangu?
Ha hahahhaa, mtego huu kaka, Diblo alikuwa kama Gaucho, hujui anashambulia au anaunganisha timu, kama kiungo. Gitaa lake analicharaza kwenye sebene za kasi, zile ambazo mikatiko ya kutosha, utamuelewa zaid kwennye nyimbo za Aurlus Mabele kwenye band ya Loketo, au kwenye Empire Bakuba ya mkali Pepe Kalle akiitwa machine gun.Usalama upo ndugu yangu, namshukuru mungu.
Mada yetu itakuwa hapa DIBLO DIBALA hapa DALI KIMOKO, unaenda na nani?
Huyu alinichanganya ubongo wangu, anapiga gitaa, anaimba, sijui bado ana rap.. nae ni mtu hatari..Ha hahahhaa, mtego huu kaka, Diblo alikuwa kama Gaucho, hujui anashambulia au anaunganisha timu, kama kiungo. Gitaa lake analicharaza kwenye sebene za kasi, zile ambazo mikatiko ya kutosha, utamuelewa zaid kwennye nyimbo za Aurlus Mabele kwenye band ya Loketo, au kwenye Empire Bakuba ya mkali Pepe Kalle akiitwa machine gun.
Dally Komoko yeye gitaa lake la solo, utampenda katika miziki ya taratibu, ile ambayo ushapiga Safari zako tatu za moto, umeagiza mishkaki na una mrembo anahakikisha wahudumu hawakuzidishii bill. Goma la Tobina utalielewa sana. Kwa hiyo hapo mimi ninaanguka na Dally Kimoko na ninasimama na Diblo Dibala.
Mdau lakini zama mpya usimsahau Alain Makaba ndani ya Wenge BCBG.
Ngoja nikomae na likizo ndugu yangu
😅 dally kimoko hana mpinzani ObeHa hahahhaa, mtego huu kaka, Diblo alikuwa kama Gaucho, hujui anashambulia au anaunganisha timu, kama kiungo. Gitaa lake analicharaza kwenye sebene za kasi, zile ambazo mikatiko ya kutosha, utamuelewa zaid kwennye nyimbo za Aurlus Mabele kwenye band ya Loketo, au kwenye Empire Bakuba ya mkali Pepe Kalle akiitwa machine gun.
Dally Komoko yeye gitaa lake la solo, utampenda katika miziki ya taratibu, ile ambayo ushapiga Safari zako tatu za moto, umeagiza mishkaki na una mrembo anahakikisha wahudumu hawakuzidishii bill. Goma la Tobina utalielewa sana. Kwa hiyo hapo mimi ninaanguka na Dally Kimoko na ninasimama na Diblo Dibala.
Mdau lakini zama mpya usimsahau Alain Makaba ndani ya Wenge BCBG.
Ngoja nikomae na likizo ndugu yangu
🙏Nawasalimu wanajukwaa wote Shunie Makiwendo Atoto Seran cocochanel moudgulf Obe makaveli10 dosho12 Shunie Vincenzo Jr Carleen
Kuna yoyote kati yenu aliepo Shy town?