Hawa watu wawili wameniambia niirudishe hii ya zamani Tresor Mandala na Vincenzo JrMmeamkaje wanajukwa wote Shunie rudisha basi ile picha Atoto kwemaa Seran za asubuhi Makiwendo upoo cocastic uyimwika.
Salamu zangu pia zikufikie moudgulf Obe makaveli10 Tresor Mandala Vincenzo Jr dosho12
Nilibadilisha mafundi watatu sijui unazungumzia fundi gani ila kama ni ujenzi pole sanaHivi ni kwanini mafundi huwa ni pasua kichwa aisee
😆 umejuaje! Ni hawa ma mason yaani kaenda kujenga uzio kwenye hifadhi ya barabara na mipaka nilimuonesha aisee. Ulikuwa unajenga nini mpaka ukawabadili hivo?Nilibadilisha mafundi watatu sijui unazungumzia fundi gani ila kama ni ujenzi pole sana
Nyumba Poker mpaka imeisha mafundi watatu nilibadili pole sanaumejuaje! Ni hawa ma mason yaani kaenda kujenga uzio kwenye hifadhi ya barabara na mipaka nilimuonesha aisee. Ulikuwa unajenga nini mpaka ukawabadili hivo?
Hakuna watu ambao huwa naachana nao vibaya kama mafundi! Sio nguo sio nyumba au nini, wengi hatusalimiani saahizi🤦🏽♀️ Haya yupi kati ya hawa kakutibua tena poker wangu?Hivi ni kwanini mafundi huwa ni pasua kichwa aisee
Hao mafundi nguo wamezidi, kwanza hawajuagi kukataa kazi hata umuambie unataka xpres utasikia sawa ila lazima mje mgombane. Mimi ni hawa mason au wajenzi.Hakuna watu ambao huwa naachana nao vibaya kama mafundi! Sio nguo sio nyumba au nini, wengi hatusalimiani saahizi🤦🏽♀️ Haya yupi kqti ya hawa kakutibua tena poker wangu?
Safi sanaHawa watu wawili wameniambia niirudishe hii ya zamani Tresor Mandala na Vincenzo Jr
Hao wa nguo mpaka nikaacha kushona miaka kumi+ siwapendi😂Hao mafundi nguo wamezidi, kwanza hawajuagi kukataa kazi hata umuambie unataka xpres utasikia sawa ila lazima mje mgombane. Mimi ni hawa mason au wajenzi.
Sasa wewe ulikuwa huna utaratibu wa kukagua jioni, au hukuwa na expert wa kumuuliza kwanza gharama za renovation kabla ya kuanza. Japo renovation huwa zinagharama maana fundi mpya lazima akosoe kazi ya fundi wa zamani sijui Fundi mahiri wa Ujenzi ana maoni gani juu ya hili.Hao wa nguo mpaka nikaacha kushona miaka kumi+ siwapendi😂
Huyo wa ujenzi deal nae effectively ni wajuaji afu wezii.. ukinyanyua boma nae ananyanyua kwake, nilikodi frem moja mwaka juzi ikawa inahitaji marekebisho sana, sitosahau fundi anakuandikia mifuko ya cement sjui wall put mara rangi, ukija kuona alichofanya kwa vitu alivyoorodhesha, alikuwa mtu mzima yule fundi nilikuwa nna adabu namsalimia vzr ila ile siku hawezi kunisahau aisee nilimuwashia moto jmn😂🙌🏾
Nilikuwa nikitoka kazini jioni napita kukagua nakuta mapicha picha ata sivyo tulivyokubaliana na bado cement wala wall put havijatosha kurekebisha sehem nyingine zipo tu vilevile🤦🏽♀️Sasa wewe ulikuwa huna utaratibu wa kukagua jioni, au hukuwa na expert wa kumuuliza kwanza gharama za renovation kabla ya kuanza. Japo renovation huwa zinagharama maana fundi mpya lazima akosoe kazi ya fundi wa zamani sijui Fundi mahiri wa Ujenzi ana maoni gani juu ya hili.
Kwahiyo akachukulia huyu wa kike haelewi kitu akaamua kukupiga na kitu kizito 😂 kama nakuona ulivo fura.Nilikuwa nikitoka kazini jioni napita kukagua nakuta mapicha picha ata sivyo tulivyokubaliana na bado cement wala wall put havijatosha kurekebisha sehem nyingine zipo tu vilevile🤦🏽♀️
Si ndio hapo mpuuzi kweli huyu! Nilifura hasa! Kiufupi wote tulikoma😂Kwahiyo akachukulia huyu wa kike haelewi kitu akaamua kukupiga na kitu kizito 😂 kama nakuona ulivo fura.
Mkuu Poker namshukuru Mungu niko poaMmeamkaje wanajukwa wote Shunie rudisha basi ile picha Atoto kwemaa Seran za asubuhi Makiwendo upoo cocastic uyimwika.
Salamu zangu pia zikufikie moudgulf Obe makaveli10 Tresor Mandala Vincenzo Jr dosho12
Good mornille..Good morning wanajukwa wote Atoto Makiwendo Seran cocochanel moudgulf Obe Tresor Mandala makaveli10 Lee
Shunie kwanini hautukeep updated tena?
Nipo busy Poker sijatulia nikitulia kila kitu kitakaa sawaGood morning wanajukwa wote Atoto Makiwendo Seran cocochanel moudgulf Obe Tresor Mandala makaveli10 Lee
Shunie kwanini hautukeep updated tena?