makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,594
Kwani yangu ungeifanya kuwa tukio maalum ungepungukiwa nini shunie akee, utavuka ngozi?Sema tarehe 25 nina safari ya huko nakuja mara moja tu tena jioni kuna ndoa nikija huko kwenu nina matukio maalum
Makapuku,Huo msemo wako umenikumbusha enzi zile za makapuku makapuku kweli haipoi wala haiboi
Nitakuja maeneo ya mnadani jioni na sitakaa sana kikubwa tu tuonekane kwenye matukio muhimuKwani yangu ungeifanya kuwa tukio maalum ungepungukiwa nini shunie akee, utavuka ngozi?
Ukija nishtue uondoke na mzigo wako
DJ.. awapigie wimbo roho mbaya haijengi 😂 popote walipohawajataka watu wengine zaidi ya wao wenyewe tu
Niliipenda inaakisi kabisa mwaka mpya mambo mapya, mbembeleze airudishe basi kaveli.Mie kwa kweli, yoyote akiweka shunie akee mie naona bomba tu.. kikubwa asimuweke mama SAMUYA tu.
Ipo moja ya dior inaitwa fahrenheit itafute ni one of the best sana, nlipewaga zawadi since hapo imekuwa ndio kitu ya kutamba nayo.Eti eeh? maybe I just have a natural gift for knowing what’s good… including people Hahah 🤪 wow! Ila mwaka wa 5 perfume ile ile!!That’s loyalty on another level! Ni perfume gani hii🤭
Nimeisikia sikia hii itakuwa nzuri sana! Mi nasubiri zawadi ndio nitambe nayo sasa😁Ipo moja ya dior inaitwa fahrenheit itafute ni one of the best sana, nlipewaga zawadi since hapo imekuwa ndio kitu ya kutamba nayo.
...mwaka wa 20 huu, natumia Brut, hawa jamaa inabidi niwatafute wajue mfia product yao nipoHapana sio tamaa ni kwamba unaasili ya kujua vitu vizuri. Mimi huu mwaka wa 5 sasa sijabadili perfume.
Mie sio KIBOKO YAKE, msake kiboko yake akusaidie, bahati mbaya pia simjui 😂🤣Niliipenda inaakisi kabisa mwaka mpya mambo mapya, mbembeleze airudishe basi kaveli.
Nzuri tu poker 🥰 mmeamkaje huko?Mmeamkaje wanajukwa wote Shunie rudisha basi ile picha Atoto kwemaa Seran za asubuhi Makiwendo upoo cocastic uyimwika.
Salamu zangu pia zikufikie moudgulf Obe makaveli10 Tresor Mandala Vincenzo Jr dosho12
Hivi ni kwanini mafundi huwa ni pasua kichwa aiseeKulikoni tena bestie
DJ.. awapigie wimbo roho mbaya haijengipopote walipo
Mie sio KIBOKO YAKE, msake kiboko yake akusaidie, bahati mbaya pia simjui