Kwanini utuweke kiroho papo na kiroho juu hivo? Unajua hizi nyakati sio nzuri kabisaa. Am happy aisee umeamua kurudi maana leo nlikua nimejiandaa kuanzisha thread ya kukutafta.