makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,593
Game ni home and awayWana familia kuanzia nchi iingie gizani hata nyumbani kwenu hapa makapuku hamtaki kupasikia! 😳
Atoto ningependa kujua Shunie anaendeleaje.
Obe upoo kweli
Tresor Mandala salamu kwako chief
makaveli10 vp tarehe 9 tunatoka tena?
moudgulf nikutakie kheri ustadh
Makiwendo njoo ulisalimie jukwaa
Nilikuwa nakuhofia wewe na Atoto Umemuona Shunie maana sio kwa ukimya huoPoker asante kwa kutujulia khali mdau. Binafsi nashukuru maandamano yameonesha kumbe Watanganyika ukimya wao sio ukondoo. Sio vyama au dini vinavyoweza kututoa hapa tulipo bali ni sisi wenyewe.
Hapa nyumbani naona wadau wapo salama, kwa sasa
Kwakuwa umetoka salama kwenye mshike mshike huo ni jambo la kumshukuru MunguKuna snipers walikuwa wanatungua siyo poa kabisa ustadh,
...kwa wakazi wa Dar, Mbeya, Arusha, Tarime na Songwe, ilikuwa ukitoka balaa, ukikaa ndani balaa linakufuata vile vileKwakuwa umetoka salama kwenye mshike mshike huo ni jambo la kumshukuru Mungu
Jijini Dar es salaam mshike mshike hasa ulikuwa kwa wakazi wanaoishi jirani na barabara kubwa kama Morogoro rd, Bagamoyo rd, Kilwa rd, Mandela rd na maeneo mengine yanayovutia watu wengi....kwa wakazi wa Dar, Mbeya, Arusha, Tarime na Songwe, ilikuwa ukitoka balaa, ukikaa ndani balaa linakufuata vile vile
Mungu ibariki Tanganyika. Muda wa kuambiana kuhusu haki, msingi wa amaniJijini Dar es salaam mshike mshike hasa ulikuwa kwa wakazi wanaoishi jirani na barabara kubwa kama Morogoro rd, Bagamoyo rd, Kilwa rd, Mandela rd na maeneo mengine yanayovutia watu wengi.
Baadhi ya maeneo ya ndani hayakuathilika sana.
Nadhani ujumbe umefika sasa ni muda kuganga majeraha na kuanza kulishughulikia tatizo.
"Mungu Ibariki Tanzania"
Kwenye huo msamaha na niffer si atatoka?Wikend njema wadau. Msamaha wa rais umetangazwa, kama una ndugu yuko jela jiandae kutoa kitu kidogo
...kama alicheza nywinywi nywi atasubiri kidogoKwenye huo msamaha na niffer si atatoka?
Kuanzia akamatwe na shunie sijamuona jukwaani mpaka naumwa aisee...kama alicheza nywinywi nywi atasubiri kidogo
Sijambo Poker nashukuru sana sijui wewe
Ha hahahaha ha, Atoto nafikiri ndiyo wakili wa washtakiwa, anaandaa makabrasha ya namna ya kuwadhamini watuhumiwa.
Shunie unatafutwa pande hizi na Poker
Nipo binamu
Daaah 🤣🤣🤣 Kwamba me ndio NifferKuanzia akamatwe na shunie sijamuona jukwaani mpaka naumwa aisee