Makapuku Forum

🀣🀣🀣🀣
Hapanaaa, usinipange.
Muda wote natamani, niwe nawe kila saa
Nikueleze jinsi gani, kwenye giza we ni taa

Nilikuwa naisikiliza ngoma ya diamond my heart.. ni kama vile alikuwa kichwani mwangu, au aliona siku ya kwana kuonana kwetu, au angekuwa jirani ningesema huwa anatupiga chabo πŸ˜„πŸ€£πŸ˜‚
 
Sidanganyiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…