we mjuba uliyeanzisha hili jukwa bado upo?Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote hum
Karibu sana
ili tusaidiane, naomba vocha ya 1000 cocochanelMnakumbuka kwa nini uzi huu ulianzishwa?
Mavitu vitu.Mavituzi gani Tena ,anavuta ?
...sikuwa mimi aisee, umeninukuu vibaya. Amini kabisa, sikuwa mimi na sijaona ubaya kwenye maneno hayo kwa kweliShemegi ama kweli umenichoka. Nimelia sana😭😭😭😭
Aaah alikuwa nani?...sikuwa mimi aisee, umeninukuu vibaya. Amini kabisa, sikuwa mimi na sijaona ubaya kwenye maneno hayo kwa kweli
Napitia msoto mkali hivi Kuna bahati kweli inarudigi mara mbili😢