Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jose mara mtoto wa kimara..

Nimekumbuka ule wimbo wa asha, fm akademia, aliimba poa sana mule...
....miaka hiyo, walikuja ukumbi wa CCM Kigamboni, sebene sio la mchezo mchezo.

Juzi nimemuona anatangaza tamasha la Malkia
 
Ila wasukuma mnawaonea🤣🤣🤣

Cc Shimba ya Buyenze
Sisi tulishazoea. Cha muhimu tu tupate ugali wa kutosha basi.

➡️➡️➡️ Leo nimepigiwa na wrong number mbili na zote ni Wasukuma. Tena mmoja mkali huyo amewaka balaa. Namwambia "namhala okoselagīnamba. Ūnene nadīMasanyiwa". Jamaa amekaza tu "Biya. Īnamba yenīyī yam-Masanyiwa". Mpaka nikamkatia simu. Wasukuma ni tatizo kwa kweli 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Sijajua kuna uhusiano gani wa kukosea namba na wasukuma kwakweli!

Juzi nimepigiwa na msukuma ananiambia ashapakia mbao Geita huko nimuelekeze pa kuzipeleka. Namwambia amekosea haelewi🤣🤣
 
Pengine na wingi wao unaongeza probability. Halafu wengine ni wakali kweli hata ukijaribu kuwaelewesha kistaarabu. Bagosha!
 
Magazeti ya leo September 1 /2025
Screenshot_20250901_063516_Opera%20Mini.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom