Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,375
- 176,218
Auntie haya magazeti yako😭😭😭🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Auntie haya magazeti yako😭😭😭🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Mbona sisi hujatutaja!! Liwakute lolote.
Jana sijalala, nilipata mafua makali sana...Babe saa 10 ulikuwa unakwenda wapi🙆♂️
PoleJana sijalala, nilipata mafua makali sana...
Nimekuja kupata usingizi saa 1 kasoro hivi.
Na hapa kuna kiumbe kanipigia simu sijui kakosea namba, ndio kanikatisha usingizi wenyewe
Ooooh! Pole sana.Jana sijalala, nilipata mafua makali sana...
Nimekuja kupata usingizi saa 1 kasoro hivi.
Na hapa kuna kiumbe kanipigia simu sijui kakosea namba, ndio kanikatisha usingizi wenyewe
Habari yako we mzee!Pole
Salama kabisa, Rafiki unaendeleaje?Habari yako we mzee!
Salama, Mungu ni mwema.Salama kabisa, Rafiki unaendeleaje?
Mungu ni Mwema ,Kila wakati, Weekend inaendaje?Salama, Mungu ni mwema.
Tumetoka church, sasa ni muda wa kuandaa maakuli na kucheza na watoto.Mungu ni Mwema ,Kila wakati, Weekend inaendaje?
Shukrani kakaPole
Ahsante mzee mwenzangu..Ooooh! Pole sana.
Sasa ni muda wa kujibu swali, alokupigia ni nani hadi uzuge kakosea namba?Ahsante mzee mwenzangu..
....tulikuwa wote hapa jukwaani yanini kuwataja kama sebene la Jose Mara!?Mbona sisi hujatutaja!! Liwakute lolote.
...itakuwa amepigiwa na msukuma ambaye ikipita wiki bila kupiga wrong namba anaumwaSasa ni muda wa kujibu swali, alokupigia ni nani hadi uzuge kakosea namba?
Bwana shemegi hata mimi sijui🤣🤣....tulikuwa wote hapa jukwaani yanini kuwataja kama sebene la Jose Mara!?
Hiyo saa 10 uliyomuona ndugu yangu makaveli10 , wewe ulikuwa wapi, shemegi!?
Ila wasukuma mnawaonea🤣🤣🤣...itakuwa amepigiwa na msukuma ambaye ikipita wiki bila kupiga wrong namba anaumwa
....kwenye uafisa ubashiri wanasema both team to score, yaani aliyeonekana saa 10 na aliyemuona saa 10 wote ni kama ngao ya maji na ngao ya kidongeBwana shemegi hata mimi sijui🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 mimi sijamuona saa kumi lakini, nilimuona saa 3 Asubuhi.....kwenye uafisa ubashiri wanasema both team to score, yaani aliyeonekana saa 10 na aliyemuona saa 10 wote ni kama ngao ya maji na ngao ya kidonge