Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Utafiti unaonyesha kuwa watoto huanza kugundua kejeli wakiwa na umri wa miaka 5 hadi 6, lakini mara nyingi huichukulia kwa maana halisi mwanzoni.
Wanaweza kudhani msemaji anadanganya au anajaribu kuwafanyia jambo zuri kwa kutumia kejeli.
Kwa miaka 7 hadi 10, wanaanza kuelewa ucheshi wa kejeli na kutambua kuwa inaweza kutumika kama dhihaka au ukosoaji tu wa kirafiki.
Uwezo wao wa kutambua kejeli huimarika kadri wanavyoendelea kujifunza/kuongeza ujuzi wa lugha, huruma, na uwezo wa kuzingatia vizuri mtazamo wa mtu mwingine.