Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,287
muda mrefu kweli insta babe..... Uko poa?Insta babe Jimmie Gatsby nimefurahi kuona uwepo wakomuda mrefu sana jamaniiii
muda mrefu kweli insta babe..... Uko poa?Insta babe Jimmie Gatsby nimefurahi kuona uwepo wakomuda mrefu sana jamaniiii
Ukijiita au ukajiona kapuku, utakuwa kapuku kweli kweli!Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote hum
Karibu sana
HahahahaUkijiita au ukajiona kapuku, utakuwa kapuku kweli kweli!
Ni Kama ukijiita au kujiona mnyonge, au ukaitwa mnyonge ukaitika! Utakuwa mnyonge kweli.
Names have consequences!
Niko poa kabisa nimefurahi sana kukuona jamanimuda mrefu kweli insta babe..... Uko poa?
Kuna tofauti gani kati ya haya na aibu?