Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asante sana kwa salamu mdau. Makiwendo asisumbuliwe na salamu kutoka sehemu nyingine, ni hadhari tu najaribu kutoa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Asante sana kwa salamu mdau. Makiwendo asisumbuliwe na salamu kutoka sehemu nyingine, ni hadhari tu najaribu kutoa
Dah, hii Swahiba wangu Makiwendo imekaaje, imenitia presha 🤣Asante sana kwa salamu mdau. Makiwendo asisumbuliwe na salamu kutoka sehemu nyingine, ni hadhari tu najaribu kutoa
Ahsante, Swahiba, Kuna mndewa Hapo juu naona ananipa pressureAhsante Swahiba....Weekend njema kwetu sote..
Barikiwa
Pressure unajipa mwenyewe Swahiba...Ahsante, Swahiba, Kuna mndewa Hapo juu naona ananipa pressure
Hahahaha 🤣 😂Pressure unajipa mwenyewe Swahiba...
Chill....🤣
....duh, mndewa tena, hanahahahaha.Ahsante, Swahiba, Kuna mndewa Hapo juu naona ananipa pressure
...au siyo, a-chill asipate pressure sababu ya mndewa ahaahahhhahaPressure unajipa mwenyewe Swahiba...
Chill....🤣
Asante binamu na kwako piaView attachment 3287543
Eid Mubarak. Kwa niaba ya wandewa
Umenizindua, nakuelewa Mkuu usemacho....duh, mndewa tena, hanahahahaha.
Sisi vijana wenye mambo ya kizamani tunasema pressure ndo akili
Eid Mubarak kwetu sote Swahiba..
Ahsante na Wewe, SwahibaEid Mubarak kwetu sote Swahiba..
Ahsante
...duh, baada ya kujua makaveli10 ana mwaliko na hamjaanialika basi nitakuja kwa mualiko wake, ndiyo faida ya kuwa na marafiki wanaopata mialiko.
Hahahaha,maweeee...kasema haji, simu yake imefuta contacts zote. Kasikitika sana