Anko upo, kuna vijana wanataka kunihujumu humu ndani. Njoo uokoe jahazi, ndugu yako nitajikuta najiunga na no reform no electionAnkooʻoo
Salama kabisa Swahiba,mie penda wewe sana sana😘Ahsante kwa salamu Swahiba wangu..
Niaje mzee baba.Asante kwa magazeti mwanamke mzuri kuliko wote duniani Shunie
Za asubuhi Tresor Mandala msalimie kipenzi chako Makiwendo kwa hakika mnapendezana. Nawasalimu wote Obe Atoto moudgulf Lee makaveli10