Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ubarikiwe zaidiiii we mzee [emoji120]Nadhani, Tayari
Ubarikiwe zaidiiii we mzee [emoji120]Nadhani, Tayari
Ahsante,Ubarikiwe na wewe Shangazi 🙏🙏🙏Ubarikiwe zaidiiii we mzee [emoji120]
Sasa kama mmeamua kupeana hela huko gizani kulikuwa na haja gani ya kuja kuturingishia hapa jukwaani! Nimeumia kwakweliUbarikiwe zaidiiii we mzee [emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Em niache mie nitoe baraka zanguSasa kama mmeamua kupeana hela huko gizani kulikuwa na haja gani ya kuja kuturingishia hapa jukwaani! Nimeumia kwakweli
Mwenye kisu kikali ndio hula nyama sasa nimeamini, mi msela kapuku sina kitu basi naonekana sina levels. Nahisi kuchanganyikiwa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Em niache mie nitoe baraka zangu
Ebu ukooooo [emoji1787][emoji1787]Mwenye kisu kikali ndio hula nyama sasa nimeamini, mi msela kapuku sina kitu basi naonekana sina levels. Nahisi kuchanganyikiwa.
Hatujambo kabisa hofu ni kwako tu
Merci beaucoup, Mkuu, mchana mwema na wewe