Salama kabisa Mkuu. Niaje kwako?Ndugu wote humu ndani habarini za jioni?
Pole sana mkuu,kama vipi nunua Gongo weka kwenye chupa ya Sprite hawatajua.
[emoji7] [emoji8] [emoji8][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mzee Wa kigoma vip![]()
Tatizo harufu yake km mavi
........
Ukuye nikuonjeshe[emoji5]
Sasa unatakiwa utembee na karafuu au ndizi za kuiva, nasikia zinapoteza kabisa harufu ya pombe.![]()
Tatizo harufu yake km mavi
........
Tupo Full bwana MaradonnaNdugu wote humu ndani habarini za jioni?
[emoji695] [emoji695][emoji7] [emoji8] [emoji8]
Iko njema sana braza. Vipi wewe?Habari ya jioni wakuu.
[emoji699] [emoji692] [emoji691] [emoji690][emoji695] [emoji695]
Me kwetu Green City but naishi Joto City......huku Bara nimekuja kimchongo tu...nikishaweka mawe mfukoni nasepaMzee Wa kigoma vip
Mambo poa kabisa brother.Iko njema sana braza. Vipi wewe?
Sawa papaa[emoji699] [emoji692] [emoji691] [emoji690]
Daah! Basi nahisi huku tulio wengi tuko busy sana, sema ndo hvyo ukipata muda unalog in Jf kama hivi[emoji119] [emoji119] [emoji119]Yupo, majukumu tu yamembana
Sasa unatakiwa utembee na karafuu au ndizi za kuiva, nasikia zinapoteza kabisa harufu ya pombe.
Papaa...!Na kapukuz[emoji6]
Mambo yamekuwa mengi brother.Mkuu habari
Kijana umekuwa sukarii Siku hizi