Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sio Leo aisee. Samahani lakiniTwaweza kushare hiyo wine hapo?
Ngoja ninywe taratibu huku nasikiliza huo wimbo

Mkuu kwajinsi huyu mtoto alivyonichanganya hata akitaka nijiue nitamsikiliza tu.wapi wewe..
kwanza nasikia umetelekeza mke na watoto watatu uko kijijini kwenu hivyo hufai kuwa mume bora
kwa kutumia macho ya ziada kila kitu kinakuwa rahisi mkuu..![]()
![]()
hebu tuambie mkuu umethibitishaje.
wapi wewe..
kwanza nasikia umetelekeza mke na watoto watatu uko kijijini kwenu hivyo hufai kuwa mume bora

teh teh kwa hyo unamfananisha na bale au mangalandio, hata hapa naañgalia mpira ila sura yako inajitokeza kwenye screen ya tv

Mkuu wewe mbaya sanakwa kutumia macho ya ziada kila kitu kinakuwa rahisi mkuu..
utakuwa ni uamuzi mzuri ukijiua kwa sababu utakuwa umeniachia nafasi vizuriMkuu kwajinsi huyu mtoto alivyonichanganya hata akitaka nijiue nitamsikiliza tu.
Hahahahahaha huyo wa sitimbi unamkompa tu, kumega kisela ni wale wa DarNamega kisela
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.........................
Upendo huu jamaniMkuu kwajinsi huyu mtoto alivyonichanganya hata akitaka nijiue nitamsikiliza tu.

utakuwa ni uamuzi mzuri ukijiua kwa sababu utakuwa umeniachia nafasi vizuri

Jimena ameshaimimina hiyoSio Leo aisee. Samahani lakini

Ndo ujue kwamba kwako nimefika.Upendo huu jamani![]()
YeahhhhhhHapo sawa. Wifi asije kuji-murder![]()
![]()