Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Nakusemea kwa wifiSauti soul ft Alikiba- unconditionally bae
Nakusemea kwa wifiSauti soul ft Alikiba- unconditionally bae
Nahisi jirani una nguvu za ziada....youngblood atakukaba
Mi sio mchoyo wewe![]()
Asante...
Mko na kasi ya ajabu hatare...., usikuni mwema ambao time zone zinasoma hivyooo
mshana jr najua hii we mida yako ya kujidai
nafikiri atakuwa anabrush viatu tayari kwa ulozi.au tupigane na youngblood alafu atakayeshinda ndo anakuwa mmiliki?Mi sipo![]()
![]()
Heheheheeeee.... Ukafie segerea uwaachie wenzako wafaidiAisee nitauwa mtu.
In JF as alwaysNaona nawewe umekuwa addicted
Afadhali hataHata mi nimethibitisha..
aah! hapa mweny kisu kikali ndiye atakaye kula nyamaHizo mali za watu mkuu.
Wewe ni Oldblood mkuu,tena ile ambayo ni infected.youngblood tuko na same blood hivyo hawezi kuzingua
Hapanaau tupigane na youngblood alafu atakayeshinda ndo anakuwa mmiliki?
MsipiganeHata mi nimethibitisha..
hebu tuambie mkuu umethibitishaje.ahaa! basi kama hutaki tusipigane KUJA kwangu fasterHapana![]()
Msipigane