Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Wewe nawe kuwa na msimamo basi.Ngoja nifikirie![]()
Wewe nawe kuwa na msimamo basi.Ngoja nifikirie![]()
Usiku hulali unaniota, au sio?yani huwezi kuamini Nahrene nikinywa maji nakuona kwenye glass
Kuwa makini jirani usichanganye madesaNgoja nifikirie![]()
Mimi usiku silali namuota yeye tu.yani huwezi kuamini Nahrene nikinywa maji nakuona kwenye glass
Nabaki mwenyeweWewe nawe kuwa na msimamo basi.

ndio, hata hapa naañgalia mpira ila sura yako inajitokeza kwenye screen ya tvUsiku hulali unaniota, au sio?
Kaka nae mbahiliiiiAkhu utapandisha gharama za maisha bora abaki na ushamba wake
.......................
Nabaki mwenyewe![]()
utabakije mwenyewe mtoto mzuri kama wewe!,utanifanya nijinyonge kwaajili yako.Mtangaze rasm hapa mkuu usikute ni nahreneHuyu Jimena hajaelewa kitu. Wakati now nipo na baby wangu tunasikiliza nyimbo za taratibu huku tukigonga mvinyo
wapi wewe..Mimi usiku silali namuota yeye tu.
Hahahaha..... Ukitembea jina langu linajichora chinindio, hata hapa naañgalia mpira ila sura yako inajitokeza kwenye screen ya tv
ndio, hata hapa naañgalia mpira ila sura yako inajitokeza kwenye screen ya tv
