Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Lee empire
Nimekumbuka mbali sana enzi hizo 2017 nimebaki nacheka![]()
Tukumbushe na sie tucheke wote ebu
Lee empire
Nimekumbuka mbali sana enzi hizo 2017 nimebaki nacheka![]()
Mtoto wenu yuko wapiTukumbushe na sie tucheke wote ebu
Mie sishindwi🤣Yatakushinda kama makii ...naona na yeye kapata mstaafu
Na wewe unakuwa umetulia tu unamsubiri arudi😳😳😳😳
Lete habari bwana, kumbe jana mmekandwa!!Subirini nikifika kwa muhindi kwenye kutumia wifi ya bure![]()
Na wewe unakuwa umetulia tu unamsubiri arudi![]()
Lete habari bwana, kumbe jana mmekandwa!!
Ngoja nikachume fimbo, shenze kabisa wewe.Sasa nitafanyajeee auntie
🤣🤣🤣🤣🤣Sina bundle mie
Umetuambukiza matatizo yako. makaveli10 nae anapotea na kurudi kama lile jambazi lako😭😭😭Auntie nijibu basi mna niniii na babe wako sijakuzoea hivi ujue
Auntie nasubiri habari ujue!!
🤣🤣🤣🤣🤣Niliona mnachelewa kuja auntie nikafuta mie


Ni bakora hadi akili zikurejee.Sema kweli auntie![]()
Weeeeh😳😳😳😂😂Kikubwa auntie yupo mzima basi![]()