Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umezaliwa kwa ajili yangu babe [emoji3059][emoji3059] ndio mana nakupenda
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hapo ndipo huwa nagombana nae, kwanini apunguze kitambi, kitambi kinafaida nyingi.
Pili, nimempendea ufupi wake, sasa mume tall, mke tall, nani mume nani mke, lazima kuwe na utofauti kijana.
1690795802744

​
 
Back
Top Bottom