Kwahiyo ukanichunia si etiiiiiii ila utakuwa umenifananisha auntie nimelala toka asubuhi jamani
Akiii sijaelewaUtakuwa hujaelewa..
Nakuchek chemba mida...
Eliiiii!! Umefufuka😂😂😂Usikute ni mhehe unatuchora tu!
😂😂😂😂😂Alooooh lipa no ya tigo hiyo babu 5456355asiione auntie yangu atoto
Usife bwana, bado tunakuhitaji.Kwa ninayoyaona humu, naweza kufa tena!
Auntie una hadi lipa namba!! Sikuwezi