Kwahiyo ukanichunia si etiiiiiii ila utakuwa umenifananisha auntie nimelala toka asubuhi jamani



Utakuwa hujaelewa..
Akiii sijaelewaUtakuwa hujaelewa..
Nakuchek chemba mida...



najua umeniona huku mitaa ya mjiniEliiiii!! Umefufuka😂😂😂Usikute ni mhehe unatuchora tu!
![]()
😂😂😂😂😂Alooooh lipa no ya tigo hiyo babu 5456355asiione auntie yangu atoto
![]()
Usife bwana, bado tunakuhitaji.Kwa ninayoyaona humu, naweza kufa tena!
![]()
Auntie una hadi lipa namba!! Sikuwezi




Auntie nina biashara ujue lipa no lazima ziwepo