Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,332
- 176,114
Hapanaa, nitanunua🤣🤣Tunakuwa kama tunabet eenh![]()
Hapanaa, nitanunua🤣🤣Tunakuwa kama tunabet eenh![]()
Huo ni wivu tu🤣🤣🤣Bora nitumie kitorch mara mia wereva hapana
Auntie hutanunua weweHapanaa, nitanunua![]()
Mnayeyuka taratibu na pesa zenu🤣🤣
Acha nibaki tu na wivuHuo ni wivu tu![]()
wereva hapana
Mnayeyuka taratibu na pesa zenu![]()

Niamini basi🤣🤣Auntie hutanunua wewe
Simu bora duniani.Acha nibaki tu na wivuwereva hapana
Baada ya panga la kocha Benchika kuwapitia wazawa, panga hilo kwa sasa limehamia kwa nyota wa kigeni na fasta limeanza na kiungo mshambuliaji Said Ntibazonkiza “Saido”
“Kuna vitu rahisi nilikuwa naviona wakati nikiwa mdogo, lakini kuvipata kwa sasa nalipa pesa nyingi sana. Nimepoteza uhuru wangu kama binadamu.
“Mimi na wenzangu wakati tunakubali kuifundisha Chelsea tulifahamu itaenda kuwa na changamoto lakini sio kwa kiasi hiki, mambo yamekuwa mengi mara majeraha, wachezaji kusimamishwa kumesababisha hali kuwa mbaya zaidi,” Kocha wa Chelsea Mauricio Pochettino.
Hahahahaha, kawaida tu..napenda kufurahiWe mzee ebu nini unacheka eti jamanii
Akapimwe akiliMtoto wa miezi mitano, Leornad Kabilu, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa wilayani Geita amefariki dunia baada ya kupigwa na baba yake sehemu mbalimbali mwilini kwa kutumia mkanda na kiatu.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea jana Alhamisi Januari 11,2024 saa saba usiku wakati wakiwa wamelala na chanzo cha tukio hilo kinadaiwa ni ugomvi wa kifamilia.
Kamanda Jongo amesema mtuhumiwa, Kabilu Mayege (20) baada ya kutenda kosa hilo ametoroka na Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta.
Akizungumza mama wa mtoto huyo, Riziki Leornad amesema siku ya tukio mumewe alitoka kuangalia mpira na akataka amuandalie chakula wakati mtoto amelala na wakati anakula mtoto alianza kulia na mama akabaki akitoa vyombo mezani na mumewe kupanda kitandani alikokuwa amelala mtoto.
View attachment 2869712
Tanzania kuna Matukio mengi sana ya mauaji yanaripotiwa kila siku, sijui tatizo nnAkapimwe akili
Sijui ni ugumu wa maisha au ni nini.Tanzania kuna Matukio mengi sana ya mauaji yanaripotiwa kila siku, sijui tatizo nn