Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,348
- 176,143
😳😳😳😳😳Unaujua
Unanisingizia bwana
😳😳😳😳😳Unaujua
Hahahahaha,shangazi bhana,kawaida tu ,🙏We mzeee Mungu akubariki sanaa sanaa ulipotoa mpaka ushangae
...oh. Nimechelewa kujua hili, HBD Shunie umezaliwa kipindi kizuri yaani hata usipopewa zawadi unafurahia sikukuuAuntie Atoto njooo ule cake View attachment 2854659
Hapana kushukuru lazima we mzeeHahahahaha,shangazi bhana,kawaida tu ,![]()
Weeeh! Hamnaga hiyo.
🤣🤣🤣🤣
...yuko wapi Maki, maana nimembebea korosho za msimu uliopita afurahie lakini shida hajasema anazipokeaje?
Usinishindwe auntie! Kwani muamala wangu hujauona?Hapana auntie nimekushindwaaa
Mungu fundi, ndio maana akanipa makaveli10 maana watoto wangekufa njaa🤣🤣🤣
Usinishindwe auntie! Kwani muamala wangu hujauona?


Daaah ndio nasoma text sasa hivi sisi tusiotumia pm tuna kazi sanaaa


Nimecheka sanaaaaaa