Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,260
Usife tena kabla hujanitumia hela😂😂Kwa hii mihangaiko ya Duniani...
Sijui ni mara ngapi hata..
Usife tena kabla hujanitumia hela😂😂Kwa hii mihangaiko ya Duniani...
Sijui ni mara ngapi hata..
Hili la tangu tanu unasema jipya!! Limeshajifia wako wanajikongoja😂😂😂😂Ila penzi likiwa jipya jipya lina heka heka jamani![]()
Kwani hili ni jipya au lilikuwa likizo tuIla penzi likiwa jipya jipya lina heka heka jamani![]()
Comments ni nyingi sana bandugu..
Kitu gani kimetokea.
Ila auntie yangu
Nimefika Shem Darling...
Naambiwa tumerudisha majeshi kwa kasi ya SGR..
Ndio auntie asiyependa aandamane
Naaam auntie acha tuenjoy tu hakuna namnaJi'enjoy tu Shem Darling...
"Tunaishi mara moja, Tunakufa mara nyingi"
Jamanii tunaishi mara ngapi eti babySisi hatuishi mara moja...

Ndio auntie ukija tutakuwa na auntie makiiSasa mbona hivi jamani![]()
Kikuu katokea![]()
Niachieni mume wangu
Kwa hii mihangaiko ya Duniani...
Sijui ni mara ngapi hata..

Ila penzi likiwa jipya jipya lina heka heka jamani![]()
Auntie hatuna upya sisi
Hili la tangu tanu unasema jipya!! Limeshajifia wako wanajikongoja![]()
Tuacheni jamaniii
Kwani hili ni jipya au lilikuwa likizo tu

Naptaga shid kukupata mrembo wang , Nilikuona unapita juu juu, Nasema ntakupata sehemu gani nikakumbuka huu mtaa wako hukosekani. Shida hili jukwaa jina lake sijawah kulipenda na sikutaka hata Comment yangu ikae humuNdio auntie asiyependa aandamane
Jamanii hili jina tu wala lisikutishe mjeda nimefurahi sana kukuonaNaptaga shid kukupata mrembo wang , Nilikuona unapita juu juu, Nasema ntakupata sehemu gani nikakumbuka huu mtaa wako hukosekani. Shida hili jukwaa jina lake sijawah kulipenda na sikutaka hata Comment yangu ikae humu
Tupo tupo aiseee. Salam tele kwa SakayoJamanii hili jina tu wala lisikutishe mjeda nimefurahi sana kukuona
Nitumieni nauliii😂😂Ndio auntie ukija tutakuwa na auntie makii