Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Si ulivichukua jamani au ndio uzee unasahauVitenge ulipeleka wapi?
Mnajuaga kuninyoosha🙆🙆🙆
Tuachane na mambo ya kikuu maana huyu zamadamu hana jipya.Si ulivichukua jamani au ndio uzee unasahau
Tuachane na mambo ya kikuu maana huyu zamadamu hana jipya.
Nataka ule mkoba wangu.

Uliuona wapi we ukija dar unanikimbia nakuleteaje sasa
Ndo kashaoza kwa tapeli wa moyo wakeAah wapi!! Sijui haya matapeli mnayaokotaga wapi🙆🙆🙆🙆
Sooon nawatafutia wamasai wawaadopt.Utafanyaje ndio watoto wake
Weeeh lini hiyo?😳😳😳😳Uliuona wapi we ukija dar unanikimbia nakuleteaje sasa
Eti moyo!! We upo kwenye firigisi tu.Ndo kashaoza kwa tapeli wa moyo wake
Polee sana...sijui upige video call baadae😀😀😀Eti moyo!! We upo kwenye firigisi tu.
Sasa ukija dar utapataWeeeh lini hiyo?
Huo mji nina aleji nao, mara ya mwisho kuja ulikuwa ule mwaka kuna njaa nchini.
Hukomi tu kumbe!!!Polee sana...sijui upige video call baadae😀😀😀