Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,415
Swahiba upo? Nani kakuficha?
Swahiba upo? Nani kakuficha?
Na wewe ndo ulimsanua ila anko kuna wakati huwa najiuliza kweli wewe ndo kunizunguka na kumwambia ukweli,...lazima awe msumbufu anko, kipindi kile umempa 50,000 ya Burundi halafu ukapotea mazima yeye akajua akichenji atapata milioni za wabunge 😂😂😂😂😂😂😂
Ha ha ha ha....Swahiba upo? Nani kakuficha?
Aaliyyah nimefurahi kuona uwepo wako dear karibu sana
Hahahaah ila we mtuX wangu huyo
....mtaasisi naona umeniamulia kabisa, japokuwa matendo ni yangu lakini umri wa kwenye picha ni tofauti kabisa. Ndugu yako bado nna kadi ya umoja wa vijana wenye mambo ya kizee. ha hahahahaha, liked.... a bounced check.
Mjini ni vizuri ukawa na kitabu cha ceck, huwezi jua lolote lnaweza kutokea kama hivi




Unaulizwa nani anakufichaHa ha ha ha....
Nipo Swahiba...
Habari ya wewe?
Mkuu kwema?
😂😂😂😂 achana na anko obe
Binamu changamoto sana mambo ya familia anaenda kuyasema mbele za michepuko