Makapuku Forum

VEGA kama VEGA... hela isakwa kwa jasho sanaaa..
 
Farhan Jr

Mbele ya Mashabiki 60,000 mbele ya Amiri Jeshi Mkuu, mbele ya Karia wa Karume, mbele ya Chalamila wa Dar Es Salaam! Danny Alves wa Matombo, Morogoro! Shomari Kapombe alikuwa na mechi yake binafsi! First touch kama Mchizi Rick Ross wa Mayback kwenye yatch! Mtawaimba wote ila hizo verse zenu basi Kapombe leo ndio Chorus!

Kocha wangu Robertinho kutofanya mabadiliko ya Shomari Kapombe na Mohamed Hussein kuna kitu amemaanisha, acha tujipe muda ila ana maana yake kubwa sana ambayo imenifikirisha sana, wamemaliza zote! Ina maana wataendelea kucheza sana.

Natamani kukiri kuwa Fabrice Ngoma ni Mtu sana, natamani kukubali Che Malone ni Kitasa sana, natamani kusema tuna Kipa imara sana ila napata ukakasi kwakuwa Dynamos hawakuwa ile timu ya kutupa ile mechi tuliyoitaka sana, walikuwa ‘unga’ sana.

Kuanzia kati mwa uwanja kwenda mbele Simba ni timu sana, ina watu sana hata akikosa Mtu flani huoni pengo sana, wanacheza kwa kupokezana! Onana anajua sana, Kramo dakika chache sana ila amepambana, Saido na Chama wanajuana sana!

Homeboy Aishi ugua pole na urejee haraka sana! Kesho kijiweni nitaanza ubishani wangu timu ipi ina ‘Mademu’ wakali sana maana Simba leo nimeona visu vya hatari sana, haki ya nani maua yalijaa sana
 
Wazazi wa aliyekuwa mfanyakazi wa benki ya ABSA Tanzania, Neech Msuya wakiweka shada katika kaburi la mtoto wao leo Jumapili Agosti 6, 2023 wilayani Mwanga.

Neech pamoja na ndugu zake watatu walifariki dunia Agosti 2, 2023 katika ajali ya gari iliyotokea Chalinze mkoani pwani.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…