Huh!!FISTON MAYELE:
“ Nimeufuatilia usajili wa Yanga ambao wengi wachezaji nawafahamu akiwemo Maxi, ni kiungo mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza nafasi za mabao.”
“Lakini niwaonye kuwa Ligi Kuu ni ngumu, kwani timu nyingi zinaipania Yanga zinapokutana nayo, hivyo ni lazima wawe fiti kwa kufanya mazoezi mengi zaidi,” alisema Mayele ambaye ametimkia Pyramids ya Misri.View attachment 2705805
Shukrani classmate kwa kushukuruAsante classmate [mention]Shunie [/mention] kwa magazine
Je wajua umeiona we mzeeShukrani kwa magazeti
Sijaiona,ipo huko juu ? Niende?Je wajua umeiona we mzee
Chini ya Mdhamini Mkuu mtu chakeJe wajua inakujia na shunie shunieView attachment 2705754
Taarifa ndugu katibuNaunga mkono hoja
Doh, pilau tayari,bado kuliwa tu
Sie wengine sijui lini na sisi tutaalikwa
Ahsante Auntie....Nitakaribia soon...
Hahahahaha, unacheka,pilau linaliwa huko ,saa hz
Hahahaha,unaenda kudoea pilau la mwenzio eeh? Kapikiwa nani hilo...usije kulimalizaAhsante Auntie....Nitakaribia soon...
Pilau naona iko
Hahahahaha, unacheka,pilau linaliwa huko ,saa hz