Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji599] OFFICIAL & CONFIRMED:
.
Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo fundi ZOUZOUA PACOME (26) kutoka Asec kwa Mkataba wa miaka miwili.
.
Pacome [emoji1132] ni kiungo mshambuliaji, Ndiye MVP wa Ligi Kuu ya Ivory coast ni mchezaji mkubwa mwenye thamani kubwa.