Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji383] ANDRE Onana huenda akawa mmoja wa makipa wanne ghali duniani
atakapotua Manchester United katika historia ya mchezo wa soka.
.
Waliomtangulia ni Kepa kwenda Chelsea — Pauni 80m, Alisson kwenda
Liverpool — Pauni 62.5m na Gigi Buffon kwenda Juventus — Pauni 52.5m.